Mkataba wa Schengen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Schengen Area participation.svg|thumb|{{legend|#0088cc|Wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU)}} {{legend|#ffff00|Wanachama wa EU katika maandalizi ya kujiunga na makubaliano}} {{legend|#ff6666|Wanachama wa EU katika maandalizi ya kujiunga na makubaliano}} {{legend|#7CFC00|Wanachama wa Mkataba wa Schengen, si wanachama wa EU}} {{legend|#FFA500|Si wanachama wa EU, lakini wanachama wa Mkataba wa Schengen}} {{legend|#4B0082|Si wanachama wa Mkataba wa Schengen, lakini bado hakuna udhibiti wa kawaida wa mpaka}}]]
'''Mkataba wa Schengen''' (kwa [[Kiingereza]]: ''Schengen Agreement''; kwa [[Kifaransa]]: ''Accord de Schengen'') ni makubaliano ya kimataifa huko [[Ulaya]] ambayo yanalenga kukomesha udhibiti wa mpaka uliopo kati ya nchi na nchi na pia ushirikiano katika mipaka ya nje kwenye ardhi kavu na majini<ref>https://ec.europa.eu/home-affairs/e-library/glossary/schengen-agreement-convention_en</ref>. Haiathiri udhibiti wa forodha[[Forodha]]. Hizi zinasimamiwa na umoja wa forodha wa Ulaya. Jina linatokana na mji wa [[Schengen]] nchini [[Luxemburg]] ambako mapatano yale yalitiwa sahihi.
 
Raia wa nchi za wanachama wanaweza kusafiri bila vizuizi ndani ya eneo la Schengen bila kuomba visa au idhini ya makazi<ref>https://www.bbc.com/news/world-europe-13194723</ref>. Raia wa nchi zilizo nje ya eneo la Schengen kwa kawaida hupokea "Viza ya Schengen", ambayo pia inawapa haki ya kukaa katika nchi zote za wanachama.
Wakati wa kuvuka mipaka ndani ya eneo la Schengen, inahitajika pia kuwa na kitambulisho.
 
Kwa raia wa eneo la Schengen ni kitambulisho halali au pasipoti[[Pasipoti]], kwa raia kutoka nchi zilizo nje ya eneo la Schengen pasipoti halali na, ikiwa ni lazima, [[viza]].
 
== Udhibiti wa muda mpakani ==
[[File:Schengen Agreement place.jpg|200px|thumb|right|Mahali pa kusaini "Schengen" huko [[Luxemburg]].]]
Hata kama udhibiti wa mpaka wa kawaida ulifutwa, udhibiti wa mpakani unaweza kurudiwa kwa muda kama nchi ni mwanachama unaonana kuna sababu maalumu ya kufanya hivyo.
 
Mifano ni:
Mstari 22:
* [[Umoja wa Ulaya]]
* [[Umoja wa Forodha wa Ulaya]]
 
==Marejeo==
{{reflist}}
 
[[Jamii:Mkataba wa Schengen]]