Kifini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
'''Kifini''' (kwa kifiniKifini: ''suomi'') ni [[Lugha za Kifini-Kiugori|lugha ya Kifini-Kiugori]] nchini [[Ufini]], [[Urusi]] na [[Uswidi]] inayozungumzwa na [[Wafini]]. Ni [[lugha rasmi]] nchini Ufini.

[[Mwaka]] wa [[2012]] [[idadi]] ya wasemaji wa Kifini nchini Ufini imehesabiwa kuwa watu [[milioni]] 5.1. Pia kuna wasemaji 201,000 nchini Uswidi (2009) na 38,900 nchini Urusi (2010).

Kufuatana na [[uainishaji wa lugha]] kwa ndani zaidi, Kifini iko katika [[kundi]] la Kifini.
 
{{mbegu-lugha}}
Line 14 ⟶ 18:
[[Jamii:Lugha za Uswidi]]
[[Jamii:Lugha za Urusi]]
[[Jamii:Lugha za Kifini-Kiugori]]