Ascension : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumbnail|right|200px|Kisiwa cha Tristan da Cunha '''Ascension''' ni kisiwa chenye ...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Georgetown Ascension1.JPG|thumb|[[Georgetown, Ascension|Georgetown]] ni [[kitovu]] cha kisiwa.]]
[[Picha:Tristan_da_Cunha,_British_overseas_territory-20March2012.jpg|thumbnail|right|200px|Kisiwa cha Tristan da Cunha]]
'''Ascension''' ni [[kisiwa]] chenye [[asili]] ya [[volikano]] kilichoko [[kusini]] kidogo kwa [[ikweta]], katika [[Bahari ya Atlantiki]], [[kilomita]] 1,600 hivi kutoka [[Afrika]] na 2,300 hivi kutoka [[Amerika Kusini]] ([[Brazil]]).
 
Wakazi wote ni 806 tu ([[sensa]] ya [[mwaka]] [[2016]]).
 
Kiutawala kiko chini ya [[koloni]] la [[Saint Helena]]<ref>{{cite web |url=http://www.opsi.gov.uk/si/si2009/plain/uksi_20091751_en#sch1-pt5 |title=The St Helena, Ascension and Tristan da Cunha Constitution Order 2009 |at= Explanatory Note |publisher=Opsi.gov.uk |accessdate=18 April 2010}}</ref>, ambalo liko chini ya [[Ufalme wa Muungano]].
 
[[Jina]] lilitokana na [[sherehe]] ya [[Kupaa Bwana]], ambayo ndiyo [[siku]] ya mwaka [[1501]] kisiwa kilipoonekana kwa mara ya kwanza.
 
==Tanbihi==
Line 45 ⟶ 47:
{{mbegu-jio-Afrika}}
[[Category:Visiwa vya Atlantiki| ]]
[[Jamii:Visiwa vya Afrika]]