Jozi (tunda) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
spam?
Nyongeza matini na picha
Mstari 1:
[[Picha:Walnut03.jpg|thumb|Jozi iliyofunguliwa]]
'''Jozi''', '''koko''' au '''kokwa''' ni [[mbegu]] kavu za [[mmea|mimea]] kadhaa zinazoliwa kama [[chakula]] cha [[binadamu|kibinadamu]]. Kibotania mbegu huitwa jozi kama [[tunda]] lina mbegu moja tu (mbili kwa nadra) ndani yake na [[ganda]] linalozunguka mbegu yenyewe linakauka kuwa ngumu kama ubao. Kwa lugha ya kila siku jozi inaweza kuwa pia mbegu ya tunda lenye nyama, k.m. [[lozi]], au vitembwe, k.m. [[nazi]] ([[usumba]]).
 
Jozi na koko ni mbegu bila ganda lake, lakini kokwa kirasmi ni ganda la mbegu, ingawa watu wengi hutumia kokwa kwa maana ya mbegu pamoja na ganda lake.
Jozi ni chakula bora yenye [[mafuta]] na [[protini]] ndani yake pamoja na [[vitamini]] mbalimbali.
 
Ganda la jozi kwa maana ya kibotania limeundwa kwa [[ukuta]] wa [[ovari]]. Ganda la jozi nyingine imeundwa kwa [[tabaka]] la ndani la ukuta huo ([[endokarpi]]).
 
Jozi ni chakula bora yenyekwa sababu ina [[mafuta]] na [[protini]] ndani yake pamoja na [[vitamini]] na [[madini]] mbalimbali.
 
==Mifano ya jozi==
* [[Korosho]]
* [[Makadamia]]
* [[Karanga]]
* [[Lozi]]
* [[Nazi]]
* [[Hazeli]]
* [[Pistacho]]
* [[Jozi ya kizungu]]
 
==Picha==
<gallery>
Cashew nut indust.jpg|Korosho
CSIRO ScienceImage 3083 CSIRO has identified the ideal macadamia preferred by consumers.jpg|Makadamia
Peanuts.JPG|Karanga
Mandorle sgusciate.jpg|Lozi
Coconut 1 2018-03-29.jpg|Nazi
Noisettes en vrac.jpg|Hazeli
Blanched pistachios.jpg|Pistacho
Cerneaux de noix.jpg|Jozi za kizungu
</gallery>
 
{{mbegu-mmea}}