Rachael Okonkwo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Nnenna Rachael Okonkwo''' (kuzaliwa [[26 Mei]] [[1987]]) maarufu kwa jina la '''Nkoli Nwa Nsukka''' ni muigiza [[filamu]] wa kike wa [[Nigeria]].<ref>{{cite web|url=https://entertainment.naij.com/1092730-actress-rachael-okonkwo-mother-young-photo.html| title=Actress Rachael Okonkwo and mother both look young in new photo|work= Naij| accessdate=27 April 2017}}</ref>
 
== Maisha & Kazi ==
Rachael Okonkwo anatokea Ukpata huko [[Uzo Uwani]] katika halmashaurijimbo yala [[Enugu State]], iliyopoto kusini mashariki mwa Nigeria. Alianza kuigiza akiwa bado mtoto, lakini kutokana na ukosefu wa uhusika katika filamu, alihamia katika uchezaji densiwa muziki. Alijiunga katika soko la filamu za Nigeria mwaka 2007 akiwa kama mhusika mdogo. Mwaka 2008, alikua mshiriki msaidizi katika filamu ya [[Ini Edo]] & [[Van Vicker]] kwa jina la Royal War 2, pia mwaka 2010 akiwa na [[Patience Ozokwor]] pamoja na [[John Okafor]] katika filamu ya Open and Close 1&2. Uhusika wake mkuu wa kwanza na ndiyo iliyompatia umaarufu ni mwaka 2014, alipokua mhusika mkuu katika filamu ya '''Nkoli Nwa Nsukka''' kama Nkoli.<ref>{{cite web|url=http://thenationonlineng.net/wont-sacrifice-career-marriage-nollywood-diva-rachael-okonkwo/| title=I wont sacrifice my career for marriage - Nollywood Diva Rachael Okonkwo|work= The Nation Online| accessdate=27 April 2017}}</ref><ref>{{cite web|url=http://fab36.com/rachael-okonkwo-biography-top-5-things-know/| title=Rachael Okonkwo Biography: Top 5 things you should know|work= Fab 36| accessdate=27 April 2017}}</ref> Mama yake alifariki mwaka 2020.<ref>{{cite web |last1=Adene |first1=Gift |title=Bisola Badmus, Destiny Etiko and other celebrities whose parent died in 2020 |url=https://www.kemifilani.ng/2020/10/bisola-badmus-destiny-etiko-and-other-celebrities-whose-whose-parent-died-in-2020.html |website=Kemi Filani News |date=30 October 2020}}</ref>
 
==Shughuli za kibinadamu==
=== Sherehe ya Watoto ya Pasaka===
Katika njia ya kipekee, '''Rachael Okonkwo''' alijitolea kwa jamii yake kwa kuongoza herehe za pasaka zilizolenga kutoa zawadi za bure kwa Watoto pamoja na burudani kwa watu. Alisema hii ilimsaidia kukutana na mashabiki zake.
Mwaka 2015 aliandaa sherehe ya kwanza ya pasaka kwa Watoto akiwa na lengo la kuwapatia zawadi mbalimbali, sherehe hiyo ilifanyoka huko [[Enugu]].<ref>{{cite web|url=http://seffixyworld.blogspot.com.ng/2015/04/children-easter-carnival-with-nkoli-nwa.html| title=Children’s easter carnival with Nkoli Nwa Nsukka Coming up|work=seffixy World| accessdate=27 April 2017}}</ref> Mwaka 2016 sherehe ya pili ilifanyika [[Onitsha]], hii ilikua na washiriki wengi zaidi kwani aliambatana na waigizaji wenzake kama [[Ken Erics]].<ref>{{cite web|url=http://www.lindaikejisblog.com/2016/04/photos-from-actress-rachael-okonkwo-aka.html| title=Photos from actress Rachael okonkwo aka nkoli nwa nsukka easter carnival|work= Linda Ikeji| accessdate=27 April 2017}}</ref> Mwaka 2017 sherehe hizo zilifanyika katika mji wake wa nyumbani [[Nsukka]], alifanikiwa kukusanya watu zaidi ya 5000, alishirikisa wasanii wengi zaidi kama [[Angela Okorie]], [[Nonso Diobi]],[[Slowdog]],[[Ken Erics]],[[Nani Boi]], [[Eve Esin]] na aliungwa mkono na mashirika makubwa yaliyopelekea kufanya sherehe kubwa zaidi.<ref>{{cite web|url=http://www.stelladimokokorkus.com/2017/04/nkoli-nwa-nsukka-storms-nsukka-for.html| title=Nkoli nwa nsukka storms nsukka for children's easter carnival|work= Stella Dimokokokorkus| accessdate=27 April 2017}}</ref>
 
==Tuzo==
Mstari 20:
|-
|rowspan="1"|2016
| [[City People Entertainment Awards]]".<ref>{{cite web|url=http://pulse.ng/movies/city-people-entertainment-awards-2016-suru-lere-tinsel-adeniyi-johnson-mide-martins-among-nominees-id5249079.html| title=City People Entertainment Awards 2016 “Suruler”,”Tinsel”,”Adeniyi Johnson”,Mide Martins among nominees|work= Pulse Nigeria| accessdate=27 April 2017}}</ref>
| Muigizaji bora mshiriki
| Alishiriki
Mstari 31:
|
|-
|[[City People Entertainment Awards]] <ref>{{cite web|url=http://jaguda.com/2015/07/11/awards-full-nominee-list-city-people-awards/| title=Awards: Full nominee list of city people awards|work= Jaguda| accessdate=27 April 2017}}</ref>
| Muigizaji bora mshiriki wa mwaka
| Alishiriki
Mstari 46:
|-
|rowspan="1"| 2020
|''[[Small Chops]]''
| Uzo
|-
| rowspan="2"| 2019
| ''[[The Ghost and the Tout]]''
|
|
|-
|''[[Nimbe]]''
|Mira
|
Mstari 73:
|''Left Over''
|
|Mhusika Mkuu [[Regina Daniels]]
|-
|''Zee World Madness''
Mstari 86:
|''Vale of Tears''
|Ola
|wahusika wakuu [[Yul Edochie]],[[Chiwetalu Agu]]
|-
|''Not My Child''
Mstari 99:
|''Justify My Love''
|Mary
|Mhusika mkuu [[Tonto Dikeh]]
|-
|''Eno my calabar love''
|Peace
|Mhusika mkuu [[Ini Edo]], [[Osita Iheme]]
|-
|''Ijele the princess of fire''
Mstari 115:
|''Please leave my husband''
| Mercy
|Wahusika wakuu [[Ken Erics]], Eve Esin
|-
|''Tears Of Betrayal''
Mstari 127:
|''Ogidi''
| Olamma
| [[Zack Orji]], [[Ebele Okaro]]
|-
|rowspan="3"| 2014
|''Bloody War''
|Janet
|Wahusika wakuu [[Ken Erics]],[[ Ngozi Ezeonu]]
|-
|''Paw Paw the guitar boy''
| Ada
|Wahusika wakuu [[Osita Iheme]], Michael Godson
|-
|''Nkoli Nwa Nsukka''
Mstari 150:
|''Open & Close''
| Anulika
| Wahusika wakuu [[John Okafor]],[[Patience Ozokwor]]
|-
|rowspan="1"| 2008
|''Royal War 2''
| Amaka
|Wahusika wakuu [[THOMPSON]], [[Van Vicker]]
|-
|}