Sam Nujoma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Reverted Mobile edit Mobile web edit
d Masahihisho aliyefanya 197.221.210.144 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Praygod mwanga
Tag: Rollback
Mstari 2:
 
'''Samuel Shafiishuna Daniel Nujoma''' (alizaliwa [[Mei 12]], [[1929]]) ni mpinga [[ubaguzi wa rangi]], [[mwanaharakati]] na [[mwanasiasa]] ambaye aliwahi mihula mitatu kama [[Rais]] wa kwanza wa [[Namibia]] ([[1990]]-[[2005]]).
 
 
alipata elimu yakisiasa kupitia msaada was u.s.s.r na ndio mana alikuja na ideology za kisocialism
 
Nujoma alikuwa mwanachama [[mwanzilishi]] na rais wa kwanza wa Jumuiya ya Watu Magharibi mwa Afrika Kusini ([[SWAPO]]) mnamo [[1960]]. Kabla ya 1960, SWAPO ilikuwa inajulikana kama Shirika la Watu wa Ovambo (OPO).