Papa Silvester I : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8:
Wakati wake ulifanyika [[mtaguso mkuu]] [[Mtaguso wa kwanza wa Nisea|wa kwanza]] ([[Nisea]], leo nchini [[Uturuki]], [[325]]). Yeye hakuhudhuria, ila alituma wajumbe wawili akathibitisha maamuzi yaliyofikiwa.
 
Tangu kale anaheshimiwa klamana Wakatoliki na Waorthodoksi kama [[mtakatifu]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake<ref>''Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum'', Romae 2001, ISBN 8820972107</ref>.