Fatma Karume : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Added content Tags: Reverted Mobile edit Mobile web edit |
d Masahihisho aliyefanya Mmarisamenya (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na 105.161.73.59 Tags: Rollback Reverted |
||
Mstari 1:
'''Fatma Karume''' (amezaliwa [[15 Juni]] [[1969]]) ni [[mwanasheria]] wa [[Tanzania|Kitanzania]] na [[wakili]] wa kujitegemea, [[mwanaharakati]] ambaye aliwahi kuwa [[rais]] wa [[Chama cha Wanasheria Tanganyika]] (TLS) katika kipindi cha [[mwaka]] [[2018]] hadi [[2019]]. Alipata [[wadhifa]] huo baada ya kushinda katika [[uchaguzi]] wa [[uraisi]] wa [[chama]] hicho uliofanyika [[Aprili]] [[2018]] na hivyo kumrithi mtangulizi wake [[Tundu Lissu]] aliyekiongoza chama hicho kutoka mwaka [[2017]] hadi 2018.
[[Katiba]] ya chama cha TLS huruhusu kuongoza kwa [[muda]] wa mwaka mmoja tu. [[Rugemeleza Nshala]] alichaguliwa katika uchaguzi huo kuwa Makamu wa Rais wa chama hicho.<ref>https://globalpublishers.co.tz/breaking-news-fatuma-karume-ashinda-urais-wa-tls</ref> Hivyo alikuwa rais wa TLS hadi mwaka 2019 Dr. Rugemeleza Nshala alipochaguliwa kuwa rais mpya<ref>{{Cite web|url=https://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/TLS-yapata-rais-mpya--asikitika-Lissu-kupigwa-risasi-mchana/1597296-5060484-10cvcecz/index.html|title=TLS yapata rais mpya, asikitika Lissu kupigwa risasi mchana|language=en|work=Mwananchi|accessdate=2019-07-11}}</ref>
|