Kitale : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Maandishi yaliyokuwepo yalichukuliwa nafasi na 'Kitale ni mji unaaopatikana Trans-nzoia county.kenya bonde la ufa'
Tags: Replaced Reverted
d Masahihisho aliyefanya 105.161.141.39 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Godson18
Tag: Rollback
Mstari 1:
[[Picha: DSC00673_Kitale_downtown_2019.jpg|thumbnail|right|280px|Kitale, Kenya]]
Kitale ni mji unaaopatikana Trans-nzoia county.kenya bonde la ufa
{{Infobox settlement
|jina_rasmi = Kitale
|picha_ya_satelite =
|pushpin_map = Kenya
|pushpin_map_caption = Mahali pa mji wa Kitale katika Kenya
|settlement_type = Jiji
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]]
|subdivision_name = [[Kenya]]
|subdivision_type1 = [[Kaunti za Kenya|Kaunti]]
|subdivision_name1 = [[Kaunti ya Trans-Nzoia|Trans-Nzoia]]
|subdivision_type2 =
|subdivision_name2 =
|wakazi_kwa_ujumla = 106187
|latd=1 |latm=01 |lats=0 |latNS=N
|longd=35 |longm=0 |longs=0 |longEW=E
|website =
}}
 
'''Kitale''' ni [[mji]] wa [[Kenya]] katika [[Bonde la Ufa la Afrika Mashariki]]. Ni [[makao makuu]] ya [[kaunti ya Trans-Nzoia]].
 
Mji uko [[mita]] 1900 [[juu ya usawa wa bahari]].
 
[[Hifadhi ya taifa ya Saiwa Swamp]] iko karibu na mji, ambao unajulikana pia kwa [[makumbusho ya Kitale]] <ref>[http://www.museums.or.ke/content/blogcategory/19/25/]</ref>.
 
[[Mazao]] ya [[Soko|sokoni]] inayokuzwa katika sehemu hii ni [[majani]] ya [[chai]], [[kahawa]], [[pareto]], [[alizeti]], [[maharagwe]] na [[mahindi]]. Kitale ni soko la mazao ya [[kilimo]] na kituo cha [[kilimo cha mseto]].
 
Mji huu ulianzishwa [[mwaka]] wa [[1908]] na [[Wazungu]] [[walowezi]]. [[Reli ya Uganda]] kutoka [[Eldoret]] ilifika Kitale mwaka wa [[1926]] na ilichangia kukuza mji huu. Kadiri ya [[sensa]] ya [[mwaka]] [[2009]], mji ulikuwa na wakazi 106,187<ref>[https://www.knbs.or.ke/download/volume-1a-population-distribution-by-administrative-units-2/?wpdmdl=3765 Sensa ya Kenya 2009], tovuti ya [[KNBS]], ilitazamwa Januari 2009.</ref>.
 
== Marejeo ==
{{Marejeo}}
 
==Viungo vya nje==
* [http://www.fallingrain.com/world/KE/8/Kitale.html ramani-mwiinuko =mita 1896 (alama nyekundu ni reli)]
* [http://www.kitale.org manispaa ya Kitale]
 
{{Kaunti za Kenya}}
{{mbegu-jio-KE}}
 
{{coord|1|01|N|35|00|E|region:KE_type:city|display=title}}
 
[[Jamii:Miji ya Kenya]]
[[Jamii:Kaunti ya Trans-Nzoia]]