Chama cha Demokrasia na Maendeleo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Chama cha Demokrasia na
Kilianzishwa [[tarehe]] [[28 Mei]] [[1992]] na [[mwanasiasa]] mkongwe [[Edwin Mtei]], aliyewahi kuwa [[waziri wa fedha]] katika miaka [[1977]] hadi [[1979]]
Mwaka [[2000]] chama cha Chadema hakikuwa na mgombea wa urais. Mwaka 2005 mgombea wa Chadema [[Freeman Mbowe]] alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 Chadema ilipata asilimia 27.1% na rais wa chama [[Wilbrod Peter Slaa]] na kura [[4,627,923]] kwa 31.75%.▼
▲Mwaka 2010 Chadema ilipata asilimia 27.1%
Hata hivyo Chadema imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
==Viungo vya nje==
|