Shajara : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 4:
Shajara binafsi huenda ikawa na mawazo ya mwandishi, yaliyompata kwa siku na pia malengo yake kwa siku zijazo.
Kando ya shajara binafsi, pia kuna shajara za mashirika ("Logbook") ambazo huonyesha matukio ya [[shirika]] hilo. Wanafunzi baada ya kusoma kozi fulani, kabla ya kumaliza masomo yao wanatakiwa waende kwa Kiambatisho Cha Viwanda (Industrial Attachment) huwa wanahitajika kuandika matukio ya kila siku kwa muda wa miezi mitatu hivi katika Shajara.
[[mhasibu|Wahasibu]] pia huwa na shajara ambamo huandika [[pesa]] walizotumia kununua [[Kitu|vitu]] au zile ambazo zimeingia kwa shirika.
Mstari 11:
[[Jamii:Utamaduni]]
|