Mkataba wa Schengen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
https://www.schengenvisainfo.com/news/spain-uk-in-last-minute-talks-to-enable-gibraltar-to-join-the-schengen-area/
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Schengen Area participation.svg|thumb|{{legend|#0088cc|Wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU)}} {{legend|#ffff00|Wanachama wa EU katika maandalizi ya kujiunga na makubaliano}} {{legend|#ff6666|Wanachama wa EU katika maandalizi ya kujiunga na makubaliano}} {{legend|#7CFC00|Wanachama wa Mkataba wa Schengen, si wanachama wa EU}} {{legend|#FFA500|Si wanachama wa EU, lakini wanachama wa Mkataba wa Schengen}} {{legend|#4B0082|Si wanachama wa Mkataba wa Schengen, lakini bado hakuna udhibiti wa kawaida wa mpaka}}]]
'''Mkataba wa Schengen''' (kwa [[Kiingereza]]: ''Schengen Agreement''; kwa [[Kifaransa]]: ''Accord de Schengen'') ni makubaliano ya kimataifa huko [[Ulaya]] ambayo yanalenga kukomesha udhibiti wa mpaka uliopo kati ya nchi na nchi na pia ushirikiano katika mipaka ya nje kwenye ardhi kavu na majini<ref>https://ec.europa.eu/home-affairs/e-library/glossary/schengen-agreement-convention_en</ref>. Haiathiri udhibiti wa [[Forodha]]. Hizi zinasimamiwa na umoja[[Umoja wa forodha wa Ulaya]]. Jina linatokana na mji wa [[Schengen]] nchini [[Luxemburg]] ambako mapatano yale yalitiwa sahihi.
 
Raia wa nchi za wanachama wanaweza kusafiri bila vizuizi ndani ya eneo la Schengen bila kuomba visa au idhini ya makazi<ref>https://www.bbc.com/news/world-europe-13194723</ref>. Raia wa nchi zilizo nje ya eneo la Schengen kwa kawaida hupokea "Viza ya Schengen", ambayo pia inawapa haki ya kukaa katika nchi zote za wanachama.