Tofauti kati ya marekesbisho "Kinywa"

217 bytes added ,  mwezi 1 uliopita
Nyongeza mdomo
(Tengua pitio 1117397 lililoandikwa na 2001:4C4E:1558:1600:A5A1:BABE:F4B6:4F93 (Majadiliano))
Tag: Undo
(Nyongeza mdomo)
[[File:Mouth illustration-Otis Archives.jpg|thumb|Kielezo cha kinywa cha [[binadamu]]]]
 
'''Kinywa''' au '''mdomo''' ni uwazi ndani ya [[kichwa]] mwenye shughuli tofauti kwa binadamu na wanyama wengi wenye [[uti wa mgongo]].
 
* ni mahali pa kuingiza [[chakula]] mwilini hivyo ni chanzo cha [[mfumo wa mmeng'enyo wa chakula]]
Sehemu za kinywa cha binadamu ni pamoja na: [[jino|meno]], [[ulimi]] na [[ufizi|fizi]].
 
==Mdomo wa mto==
[[Neno]] mdomo hutumika pia kwa sehemu ya [[mto]] ambako unaishia kwa kuingia katika [[bahari]], [[ziwa]] au, kama ni [[tawimto]], katika mto mkubwa zaidi. Kisawe ni [[mlango]] wa mto.
 
{{mbegu-anatomia}}
10,599

edits