Tofauti kati ya marekesbisho "Midomo"

202 bytes removed ,  mwezi 1 uliopita
Ondoleo la mdomo wa mto
d (ChriKo moved page Mdomo to Midomo over redirect: Kuepuka mkanganyiko na mdomo: mouth.)
(Ondoleo la mdomo wa mto)
==Midomo ya uke==
Hata [[uke]] una midomo, midomo mikubwa na midomo midogo, ambayo inafunika vipenyo vya [[mfereji|mifereji]] ya [[uzazi]] na [[mkojo]]. Huitwa mashavu pia.
 
==Mdomo wa mto==
[[Neno]] mdomo hutumika pia kwa sehemu ya [[mto]] ambako unaishia kwa kuingia katika [[bahari]], [[ziwa]] au, kama ni [[tawimto]], katika mto mkubwa zaidi. Kisawe ni [[mlango]] wa mto.
 
{{mbegu-anatomia}}
 
[[Jamii:Viungo vya mwili]]
[[Jamii:Kichwa]]
10,608

edits