Midomo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ondoleo la mdomo wa mto
dNo edit summary
 
Mstari 2:
[[Picha:Lujuria Lust Tentación (3973672868).jpg|thumb|Midomo yenye rangi ya nyekundu]]
[[Picha:MouthCupidBow.jpg|thumb|Uta wa Kupido]]
'''Midomo''' ni sehemu za [[kinywa]] zinazokifunga na kukifungua. Takriban [[vertebrata]] wote wana midomo na [[mnyama|wanyama]] wengine pia, hata [[wadudu]] wengi. Kwa [[lugha]] ya kila siku neno “mdomo”“[[mdomo]]” mara nyingi ni [[kisawe]] cha kinywa.
 
Midomo ni miwili, ule wa juu na ule wa chini. Mara nyingi maumbo yao ni tofauti, kama kwa [[binadamu]]. [[Mpaka]] wa mdomo wa juu unaenda chini kidogo kwenye katikati yake na unajulikana kama [[uta]] wa [[Kupido]]. Kivimbe kinene kilichopo katikati ya mdomo wa juu huitwa kinundu cha mdomo. Mfuo wa wima unaotokana na kati ya mdomo wa juu hadi kwenye [[ukuta]] wa [[pua]] huitwa [[filtro]] ([[w:philtrum|philtrum]]).