Polikarpo Mtakatifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 2:
'''Mtakatifu Polikarpo''' (takriban [[69]]-[[155]]) alikuwa [[askofu]] katika [[mkoa wa Asia]] ([[Uturuki]] wa leo).
 
AmetambuliwaTangu kale anatambuliwa na [[Wakatoliki]] na [[Waorthodoksi]] kuwa [[mtakatifu]] kama [[mfiadini]].
 
[[Sikukuu]] yake ni tarehe [[23 Februari]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Maisha==
Polikarpo alikuwa [[mwanafunzi]] wa [[mtume Yohane]] na askofu wa [[mji]] wa [[Smirna]] (leo [[Izmir]] nchini [[Uturuki]]). Pengine [[barua]] kwa [[malaika]] wa [[Kanisa]] la Smirna inayopatikana katika [[Kitabu cha Ufunuo]] ilimlenga na kumsifu yeye.
 
Alikuwa [[rafiki]] ya Mt.wa [[Ignasi wa Antiokia]] ambaye alimuandikia barua maarufu.
 
Alikwenda [[Roma]], [[Italia]], kuzungumza na Mt. [[Papa Anicetus]] kuhusu maadhimisho ya [[Pasaka]].
 
Mwaka 155 aliifia [[dini]] yake kwa kuchomwa [[moto]] katika uwanja wa michezo. Habari za [[kifodini]] hicho zinasifiwa kwa uzuri wake.
 
==Sala yake wakati wa kufia dini==
 
Ee Bwana, Mwenyezi Mungu,
Baba wa Mwanao mpenzi na mbarikiwa Yesu Kristo,
Line 41 ⟶ 40:
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Marejeo==
*"Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1295
{{mbegu-Mkristo}}
 
[[Jamii:Maaskofu Wakatoliki]]
[[Jamii:Wafiadini Wakristo]]
Line 50 ⟶ 52:
[[Jamii:Waliozaliwa 69]]
[[Jamii:Waliofariki 155]]
 
{{mbegu-Mkristo}}