Yohane Yosefu wa Msalaba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:JohnJosephoftheCross.jpg|thumb|right|175px|Sura ya Mt. Yohane Yosefu]]
'''Yohane Yosefu wa [[Msalaba]]''' ([[Ischia]], [[15 Agosti]] [[1654]] - [[5 Machi]] [[1734]]), alikuwa [[padri]] wa shirika la [[Ndugu Wadogo]] [[Pekupeku]] kutoka [[Italia]] aliyependa sana [[ufukara]].
 
Anaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtakatifu]]. Kwanza alitangazwa [[mwenye heri]] [[mwaka]] [[1789]], halafu [[mtakatifu]] mwaka [[1839]] na [[Papa Gregori XVI]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa [[tarehe]] ya [[kifo]] chake<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Tazama pia==
Line 17 ⟶ 19:
* [http://www.roman-catholic-saints.com/john-joseph-of-the-cross.html ''The Franciscan Book of Saints'', ed. by Marion Habig, OFM]
* [http://acatholicview.blogspot.com/2012/03/st-john-joseph-of-cross.html ''Lives of the Saints for Every Day of the Year'', edited by Rev. Hugo Hoever, S.O. Cist., Ph.D.]
 
{{mbegu-Mkristo}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1654]]
[[Jamii:Waliofariki 1734]]