Revocatus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Revocatus''' (kutoka [[Kilatini]] "revocare" - '' kuita tena'') ni mmoja wa mashahidi wa [[imani]] ya [[Ukristo|Kikristo]] waliouawa tarehe [[7 Machi]] [[203]] mjini [[Karthago]] wakati wa [[dhuluma]] dhidi ya Wakristo chini ya [[serikali]] ya [[Kaisari]] [[Septimius Severus]] ([[193]]-[[211]]).
 
Revocatus anakumbukwa kwamba alisimama mbele ya umati wa watu waliokuja kuona [[damu]] ya wafiadini hao akawakumbusha ya kuwa kila mmoja atawajibika mbele ya [[Mungu]].
Anaheshimiwa kati ya [[watakatifu]] [[wafiadini]].
 
Jina la Revocatus limekuwa jina linalotumiwa na [[Kanisa Katoliki|Wakatoliki]] wa [[Afrika ya Mashariki]].
 
RevocatusAnaheshimiwa anakumbukwatangu kale kati ya [[watakatifu]] [[wafiadini]] pamoja na watakatifu [[Perpetua Mtakatifu|Perpetua]] na [[Felista Mtakatifu|Felista]] wanaojulikana zaidi kama mashahidi Wakristo wa [[Afrika ya Kaskazini]].
 
Revocatus alikuwa kati ya [[watumwa]] wa [[familia]] ya Perpetua sawa na mwenzake Felista. Pamoja na wasichana hao na Saturninus alikuwa mmoja wa wanafunzi wa imani ya kikristo mjini Karthago waliojiandaa kubatizwa. Kundi lote likakamatwa pamoja na kutupwa jela. Jinsi ilivyokuwa kawaida walipewa nafasi ya kuachana na Ukristo lakini wote walisimama imara wakabatiwza gerezani.
 
Pamoja na akina [[mama]] hao vijana na wanaume wengine 3 walikamatwa pamoja na kutupwa jela. Jinsi ilivyokuwa kawaida walipewa nafasi ya kuachana na Ukristo lakini wote walisimama imara wakabatizwa gerezani.
 
Walihukumiwa [[adhabu ya kifo]] katika [[uwanja wa michezo]] mbele ya watu wengi. Hukumu ilitekelezwa kwa njia ya [[wanyamapori]].
 
[[Sikukuu]] yao huadhimishwa tarehe ya [[kifodini]] chao<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
Revocatus anakumbukwa kwamba alisimama mbele ya umati wa watu waliokuja kuona [[damu]] ya wafiadini hao akawakumbusha ya kuwa kila mmoja atawajibika mbele ya [[Mungu]].
 
Jina la Revocatus limekuwa jina linalotumiwa na [[Kanisa Katoliki|Wakatoliki]] wa [[Afrika ya Mashariki]].
 
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{Mbegu-Mkristo}}
[[Jamii:Waliozaliwa karne ya 2]]
 
[[Jamii:Waliofariki 203]]
[[Jamii:Watu wa Roma ya Kale]]