Sekondinus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 2:
'''Sekondinus''' ni mmoja wa mashahidi wa [[imani]] ya [[Ukristo|Kikristo]] waliouawa tarehe [[7 Machi]] [[203]] mjini [[Karthago]] wakati wa [[dhuluma]] dhidi ya Wakristo chini ya [[serikali]] ya [[Kaisari]] [[Septimius Severus]] ([[193]]-[[211]]).
 
Anaheshimiwa tangu kale kati ya [[watakatifu]] [[wafiadini]] pamoja na watakatifu [[Perpetua Mtakatifu|Perpetua]] na [[Felista Mtakatifu|Felista]] wanaojulikana zaidi kama mashahidi Wakristo wa [[Afrika ya Kaskazini]].
 
Pamoja na akina [[mama]] hao vijana na wanaume wengine 3 walikamatwa pamoja na kutupwa jela. Jinsi ilivyokuwa kawaida walipewa nafasi ya kuachana na Ukristo lakini wote walisimama imara wakabatiwzawakabatizwa gerezani.
 
Walihukumiwa [[adhabu ya kifo]] katika [[uwanja wa michezo]] mbele ya watu wengi. Hukumu ilitekelezwa kwa njia ya [[wanyamapori]].
 
[[Sikukuu]] yao huadhimishwa tarehe ya [[kifodini]] chao<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Tazama pia==
Line 14 ⟶ 16:
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{Mbegu-Mkristo}}
[[Jamii:Waliozaliwa karne ya 2]]
 
[[Jamii:Waliofariki 203]]
[[Jamii:Watu wa Roma ya Kale]]