Majadiliano:Jihadi : Tofauti kati ya masahihisho

Latest comment: miaka 3 iliyopita by Kipala in topic Maana ya kijeshi ya Jihadi
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==Maana ya kijeshi ya Jihadi== Mabadiliko ya mtumiaji:JJOSY2000 yameleta tokeo lisiloweza kuridhisha. Amebadilisha matini kwa kudai hakuna maana ya kijeshi...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 18:23, 6 Januari 2021

Maana ya kijeshi ya Jihadi

Mabadiliko ya mtumiaji:JJOSY2000 yameleta tokeo lisiloweza kuridhisha. Amebadilisha matini kwa kudai hakuna maana ya kijeshi ya istilahi hiyo, bila kuleta chanzo kinachothibitisha maelezo yake. Ameingiza chanzo kimoja ("Answering-Christianity.com) kinachosema " Jihad doesn't always mean a war or battle. Any mean for spreading Islam and the Truth, or to fight for what is right and condemn what is wrong (such as fighting the bad and helping the oppressed even if they were not Muslims) are considered Jihad" - sentensi ya ufunguzi hailingani na madai yake kuwa "Katika Qurani neno "jihadi" halina maana ya mapigano ya kijeshi ". Kwa sababu hiyo nitarudisha mabadiliko yake, ilhali ninampa kwanza nafasi ya kujibu hapa. Kipala (majadiliano) 18:23, 6 Januari 2021 (UTC)Reply

Return to "Jihadi" page.