Bamba la Pasifiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Pazifische platte.png|thumb|right|350px|Bamba la Pasifiki kwa rangi ya kahawia nyeupe]]
[[Picha:Pacific Ring of Fire.png|thumb|350px|Pete ya moto au mstari wa volkeno huzunguka mipaka ya Bamba la Pasifiki; mistari ya buluu ni sehemu penye volkeno nyingi.]]
'''Bamba la Pasifiki''' ni kati ya [[bamba la gandunia|mabamba makubwa ya gandunia]] ya [[dunia]] yetu. Lipo chini ya [[bahari]] ya [[Pasifiki]] ikiwa ni bamba la gandunia kubwa kabisa. [[Maada]] yake ni [[miamba]] nzitomizito ya [[gumawesi]].
 
== Mipaka ==
Mstari 7:
 
== Mwendo na pete ya moto ==
Bamba lote lina mwendo wa kuelekea [[kaskazini]]-[[magharibi]] kwa mkasikasi waya [[sentimita]] 10 kwa [[mwaka]].
 
Mwendo huuhuo unaacha nafasi upande wa [[mashariki]] inayoonekana kama [[bonde la ufa]] kwenye [[sakafu ya bahari]]. Upande wa magharibi bamba lajisukumalinajisukuma chini ya bamba la Ufilipino na tokeo lake ni [[mfereji wa Mariana]].
 
Kando laya bamba kuna [[volkeno]] nyingi zinazoitwa "[[pete ya moto]]".
 
[[Jamii:Jiografia]]