Katerina wa Bologna : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Katerina wa Bologna''' ni jina linalotumika kwa kawaida kumtajia Katerina wa Vigri ([[8 Septemba]] [[1413]] - [[9 Machi]] [[1463]]), [[bikira]] na [[abesi]] wa [[monasteri]] ya [[Bologna]] ya [[Waklara|Shirika la Mtakatifu Klara]] ambaye alitangazwa.

Alitangazwa na [[Kanisa Katoliki]] kuwa [[mwenye heri]] [[tarehe]] [[13 Novemba]] [[1703]] na [[mtakatifu]] tarehe [[22 Mei]] [[1712]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe ya [[kifo]] chake<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Maisha==
Line 36 ⟶ 40:
*''Masifu, mada na barua'' (''Laudi, Trattati e Lettere'', Ed. del Galluzzo 2000);
*''Taji la Mama wa Kristo'' (''Corona de la Madre de Christo'', Ed. Digigraf 2006).
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Viungo vya nje==
* http://www.clarissesantacaterinadevigri.it
{{mbegu-Mkristo}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1413]]
[[Jamii:Waliofariki 1463]]