Maksimiliani wa Tebessa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Maksimiliani wa Tebessa''' (au [[Numidia]]; [[274]]- [[12 Machi]] [[295]]) alikuwa [[kijana]] [[Mkristo]] katika [[Algeria]] ya leo aliyefia [[dini]] yake kwa kukatwa [[kichwa]]<ref name=ott>[http://www.newadvent.org/cathen/10075a.htm Ott, Michael. "Maximilian." The Catholic Encyclopedia. Vol. 10. New York: Robert Appleton Company, 1911. 15 Mar. 2013]</ref>.
 
[[Mtoto]] wa [[askari]] Fabius Victor, alilazimishwa kujunga na [[jeshi]] la [[Dola la Roma]], lakini alikataa kula [[kiapo]] cha [[uaminifu]] kwa [[Kaisari]] na kuwa [[mwanajeshi]] akitaja kama sababu [[imani]] yake<ref>Richard Alston, ''Soldier and Society in Roman Egypt'', London and New York: Routledge, 1995, {{ISBN| 0-415-12270-8}}, p 149.</ref>.
 
Tangu kale anaheshimiwa na [[Wakatoliki]] na [[Waorthodoksi]] kama [[mtakatifu]] [[mfiadini]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa [[tarehe]] [[12 Machi]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Tazama pia==