Tofauti kati ya marekesbisho "Kinyama-bapa"

6 bytes added ,  mwezi 1 uliopita
Badiliko la jamii
(Ukurasa mpya)
 
(Badiliko la jamii)
Spishi kadhaa zina [[kijidudu|vijidudu]] vya [[Rickettsiales]] vinavyoishi ndani ya mwili wao. Angalau spishi moja iliibuka kuwa na spishi mbili za [[bakteria]] ndani yake. ''Grellia'', anayeishi katika [[retikulamu ya endoplasma]] ya mnyama huyu, anachukuliwa kuwa na jukumu katika uzalishaji wa [[protini]] na [[utando]] wa seli. Kijidudu kingine ni [[Margulisbacteria]] ilivyoelezwa kama spishi ya kwanza ambayo huishi ndani ya seli na hutumiwa kwa [[mmeng'enyo]] wa [[mwani|miani]]. Inaonekana kula [[mafuta]] na [[lipidi]] nyingine za miani na kumpa mwenyeji wake [[vitamini]] na [[asidi amino]] kwa kurudi.
 
[[Jamii:PlacozoaTrichoplacidae]]
10,607

edits