Tofauti kati ya marekesbisho "Kinyama-bapa"

No change in size ,  mwezi 1 uliopita
d
no edit summary
(Badiliko la jamii)
d
[[Uzazi wa kijinsia]] umeripotiwa kutokea katika spishi moja. Uunganishaji baini ya [[jeni]] ulionekana na vile vile sifa nyingine za uzazi wa kijinsia.
 
Spishi kadhaa zina [[kijidudu|vijidudu]] vya [[Rickettsiales]] vinavyoishi ndani ya mwili wao. Angalau spishi moja iliibuka kuwa na spishi mbili za [[bakteria]] ndani yake. ''Grellia'', anayeishi katika [[retikulamu ya endoplasma]] ya mnyama huyu, anachukuliwa kuwa na jukumu katika uzalishaji wa [[protini]] na [[utando]] wa seli. Kijidudu kingine ni [[''Margulisbacteria]]'' ilivyoelezwa kama spishi ya kwanza ambayo huishi ndani ya seli na hutumiwa kwa [[mmeng'enyo]] wa [[mwani|miani]]. Inaonekana kula [[mafuta]] na [[lipidi]] nyingine za miani na kumpa mwenyeji wake [[vitamini]] na [[asidi amino]] kwa kurudi.
 
[[Jamii:Trichoplacidae]]
10,639

edits