Utukufu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari wa Biblia badala ya Kut 33:19 na kuwa Kut 33:20
No edit summary
Mstari 2:
'''Utukufu''' (kwa [[Kiebrania]] הוד, ''hod'', na כבד, ''kabod'', "uzito"; kwa [[Kigiriki]] δόξα, ''doxa'', "tathmini"; kwa [[Kiingereza]] ''glory'' kutoka [[Kilatini]] ''gloria'', "umaarufu") ni hasa sifa ya [[Mungu]] anapojitokeza kwa [[kiumbe|viumbe]].
 
Katika [[Biblia]] na [[Ukristo]] utukufu ni muhimu sana, kwa sababu unatazamwa kuwa ndio lengo la [[uumbaji]].<ref>[http://www.newadvent.org/cathen/06585a.htm The Catholic Encyclopedia - Glory]</ref> ili Catholickwa doctrinenjia teaches,hiyo however, that God does not seek to be glorified for his own sake, but for the sake of mankind that they may know[[watu]] Himwaokoke.<ref>''[http://www.newadvent.org/summa/3132.htm#1 ST]'', II-II, Q. 132, art. 1.</ref>
 
Katika [[Kut]] 33:20, [[Musa]] aliambiwa mtu yeyote hawezi kuona utukufu huo na kuendelea kuishi.
Mstari 8:
[[Yesu]] aliwafundisha wafuasi wake kutenda mema, ili watu wakiona wamtukuze [[Baba]] wa [[mbinguni]] ([[Math]] 5:16).
 
Kadiri ya [[Injili Ndugu]], Yesu alionekana na [[wanafunzi]] watatu akiwa katika utukufu pamoja na Musa na [[Elia]] ([[Lk]] 9:29-32).
 
Utukufu utashirikishwa kwa [[binadamu]] waadilifu [[ufufuko|watakapofufuliwa]] [[Kiyama|siku ya mwisho]]
 
Kinyume cha kulenga utukufu huo kutoka kwa Mungu, mara nyingi watu wanajitafutia sifa kutoka kwa wenzao ([[Yoh]] 12:43). Ndiyo [[dhambi]] ya [[majivuno]] inayozuia [[imani]].<ref>''[http://www.newadvent.org/summa/3132.htm#1 ST]'', II-II, Q. 132, art. 4.</ref>
 
==Tanbihi==
{{Reflist|2}}
 
==Viungo vya nje==