Meroë : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Created by translating the page "Meroë" |
(Hakuna tofauti)
|
Pitio la 14:01, 11 Januari 2021
Meroë (Kimeroe: Medewi au Bedewi ) ni jina la mji wa kale. Mabaki ya majengo yake yanapatikana kwenye ukingo wa mashariki wa mto Nile karibu kilomita 6 kaskazini mashariki mwa Kabushiya karibu na Shendi, Sudan . Meroe iiko mnamo kilomita 200 kaskazini mashariki mwa Khartoum kando la barabara kuu kutoka Khartoum kuelekea Atbara. Kuna vijiji vichache karibu ambavyo vinaitwa Bagrawiyah .
Meroë ilikuwa mji mkuu wa Ufalme wa Kushi kwa karne kadhaa. [1]
Meroe inajulikana kwa piramidi zake nyingi. Piramidi hizi si kubwa kama zile za Gizah katika Misri lakini idadi ni kubwa, kwa jumla zilikuwa zaidi ya 200..