Meroë : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Meroë"
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sudan_Meroe_Pyramids_2001.JPG|right|thumb|300x300px| MeroëMeroe ni tovutikivutio cha kiutamaduni nchini [[Sudan]] . KunaKati piramidiya Piramidi nyingi huko.zilizopo, Wengi waonyingi ni magofumaghofu. Jiji linasimulia juu ya utukufu wa wafalme wa zamani, ambao wamezikwa kwenye piramidi.]]
'''Meroë''' (Kimeroe: ''Medewi'' au ''Bedewi'' ) ni jina la [[Jiji|mji]] wa kale. Mabaki ya majengo yake yanapatikana kwenye ukingo wa mashariki wa [[Nile|mto Nile]] karibu kilomita 6 kaskazini mashariki mwa Kabushiya karibu na Shendi, [[Sudan]] . Meroe iiko mnamo kilomita 200 kaskazini mashariki mwa [[Khartoum]] kando la barabara kuu kutoka Khartoum kuelekea [[Atbara]]. Kuna vijiji vichache karibu ambavyo vinaitwa '''Bagrawiyah''' .
 
Meroë ilikuwa mji mkuu wa [[Kushi|Ufalme wa Kushi]] kwa karne kadhaa. <ref>[http://whc.unesco.org/en/tentativelists/1934/]</ref>
 
== Urithi wa Dunia ==
[[File:Meroe 9 October 2020.jpg|thumb|A modern satellite view of the region of Meroe (October 2020)]]
Tangu Juni 2011 eneo la Meroe limeandikishwa katika orodha ya UNESCO inayotaja "[[Urithi wa Dunia]].<ref>[https://whc.unesco.org/en/list/1336 Archaeological Sites of the Island of Meroe], tovuti ya Unesco, iliangaliwa Januari 2021 </ref>
 
Meroe inajulikana kwa piramidi zake nyingi. Piramidi hizi si kubwa kama zile za Gizah katika Misri lakini idadi ni kubwa, kwa jumla zilikuwa zaidi ya 200..
 
== Viungo vya Nje ==
* {{Commons category-inline|Meroe|Meroë}}
* [http://www.learningsites.com/GebelBarkal-2/GB-index.htm LearningSites.com – Gebel Barkal]
* [https://whc.unesco.org/pg.cfm?cid=31&id_site=1073 UNESCO World Heritage – Gebel Barkal and the Sites of the Napatan Region]
* [https://web.archive.org/web/20060505094401/http://www.numibia.net/nubia/meroe.htm Nubia Museum – Merotic Empire]
* [https://web.archive.org/web/20140104162559/http://pharaons-noirs.fr/ Voyage au pays des pharaons noirs] Travel in Sudan and notes on Nubian history {{in lang|fr}}
* [http://www.roger-pearse.com/weblog/2016/12/15/a-labelled-map-of-the-north-pyramids-at-meroe-and-a-google-maps-satellite-view-on-a-phone/ Labelled map of the pyramids at Meroe]
* [https://www.youtube.com/watch?v=ZXtm65vkfvo Sudan's forgotten pyramids – BBC News]
* [http://www.bis-ans-ende-der-welt.net/Reisen.htm?Tour=Sud-2007-Idx&Index=Me Pictures of Meroë] – An online slide show as part of a detailed travelogue (in German)
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
 
Meroe inajulikana kwa piramidi zake nyingi. Piramidi hizi si kubwa kama zile za Gizah katika Misri lakini idadi ni kubwa, kwa jumla zilikuwa zaidi ya 200..
[[Jamii:Historia ya Afrika]]
[[Jamii:Kushi]]