Meroë : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sudan_Meroe_Pyramids_2001.JPG|right|thumb|300x300px| Meroe ni kivutio cha kiutamaduni nchini [[Sudan]] . Kati ya Piramidi nyingi zilizopo, nyingi ni maghofu. ]]
'''Meroë''' (Kimeroe: ''Medewi'' au ''Bedewi'' ) ni jina la [[Jiji|mji]] wa kale. Mabaki ya majengo yake yanapatikana kwenye ukingo wa mashariki wa [[Nile|mto Nile]] karibu kilomita 6 kaskazini mashariki mwa Kabushiya karibu na Shendi, [[Sudan]] . Meroe iiko mnamo kilomita 200 kaskazini mashariki mwa [[Khartoum]] kando la barabara kuu kutoka Khartoum kuelekea [[Atbara]]. Kuna vijiji vichache karibu ambavyo vinaitwa '''Bagrawiyah''' .