Akoliti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
'''Akoliti''' (kwa [[Kiingereza]] "acolyte", kutoka [[Kigiriki]] ἀκόλουθος, ''akoluthos'', yaani "msindikizaji") ni [[Mkristo]] anayemsaidia [[askofu]], [[padri]] au [[shemasi]] anapoongoza [[ibada]] fulani<ref>[http://www.liturgyoffice.org.uk/Resources/GIRM/Documents/GIRM.pdf General Instruction of the Roman Missal]</ref>.
 
==Katika Kanisa la Kilatini==
Katika [[Kanisa la Kilatini]] tangu mwaka [[1972]], pamoja na [[usomaji]], ni mojawapo kati ya [[huduma]] [[mbili]] za lazima<ref>{{cite web|url=http://www.vatican.va/holy_father/paul_vi/motu_proprio/documents/hf_p-vi_motu-proprio_19720815_ministeria-quaedam_lt.html|title=''Ministeria quaedam'', II|publisher=}}</ref> ambazo wale wote wanaojiandaa kupata [[daraja takatifu]] wazipate na kuzitekeleza kwa [[muda]] fulani.
 
Kati ya [[kazi]] muhimu za akoliti, mojawapo ni kuwagawia waamini wenzake [[sakramenti]] ya [[ekaristi]]<ref>General Instruction of the Roman Missal, no. 100</ref>.
 
Kuanzia [[mwaka]] [[2021]] [[wanawake]] pia wanaweza kupewa kazi hiyo, baada ya [[Papa Fransisko]] kurekebisha [[kanuni]] 230 ya [[Mkusanyo wa Sheria za Kanisa]].
 
==Tanbihi==