Msomaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8:
Katika [[Ukristo]] ni hasa [[jina]] la mtu anayesoma kutoka katika [[Biblia]] wakati wa [[ibada]], akiwa amejiandaa kutoa [[huduma]] hiyo kwa kiwango cha [[ubora]] ili [[Neno la Mungu]] lisikike vizuri.
 
==Katika Kanisa la Kilatini==
Katika [[Kanisa Katolikila Kilatini]] na baadhi ya [[madhehebu]] mengine, waumini wanaweza kukabidiwa huduma hiyo kwa namna ya kudumu.
 
Hasa wanaojiandaa kupata [[ushemasi]] na [[upadri]] wanatakiwa kupitia kwanza usomaji na [[usindikizi]] kama matayarisho kwa [[daraja takatifu]] hizo.
 
Kuanzia [[mwaka]] [[2021]] [[wanawake]] pia wanaweza kupewa kazi hiyo, baada ya [[Papa Fransisko]] kurekebisha [[kanuni]] 230 ya [[Mkusanyo wa Sheria za Kanisa]].
 
==Viungo vya nje==