Akoliti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
 
==Katika Kanisa la Kilatini==
Katika [[Kanisa la Kilatini]] tangu mwaka [[1972]], pamoja na [[msomaji|usomaji]], ni mojawapo kati ya [[huduma]] [[mbili]] za lazima<ref>{{cite web|url=http://www.vatican.va/holy_father/paul_vi/motu_proprio/documents/hf_p-vi_motu-proprio_19720815_ministeria-quaedam_lt.html|title=''Ministeria quaedam'', II|publisher=}}</ref> ambazo wale wote wanaojiandaa kupata [[daraja takatifu]] wazipate na kuzitekeleza kwa [[muda]] fulani.
 
Kati ya [[kazi]] muhimu za akoliti, mojawapo ni kuwagawia waamini wenzake [[sakramenti]] ya [[ekaristi]]<ref>General Instruction of the Roman Missal, no. 100</ref>.