Bruno Gutmann : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 2:
 
==== Asili yake ====
Bruno Gutmann alizaliwa 1876, ambakomiaka babamichache baada ya maungano ya Ujerumani ya 1871. Baba yake, alikuwa mtoto wa mkulima mdogo, aliwahialiyewahi kununua nyumba alipowekeza mali yake yote kutokanakwa natumaini urithila kupata faida lakini katika hali ngumu ya uchumi iliyofuata mradi wake uliporomoka<ref>Sehemu hii inafuata habari kutoka [<nowiki>https://archive.org/details/brunogutmann18760000wint/page/30/mode/2up</nowiki> Winter, J.C.: Bruno Gutmann, 1876-1966 : a German approach to social anthropology], Clarendon Press Oxford & New York 1979, kurasa 30 ff</ref>. Utoto wa Bruno ulikuwa maisha ya umaskini; mama yake alikuwa mgonjwa baada ya kumzaa mtoto wa pili. Wakati ule wazazi wa mamaye walihamia nyumba ya Gutmann ili wamsaidie mwanao ndio hao waliomlea Bruno. Mama yake Bruno alifariki dunia mwaka 1883. Baba na dadake waliondoka katika nyumba wakaishi kwa ndugu wengine. Kwenye shule ya msingi alikuwa mwanafunzi bora. Alipofika umri wa miaka 11 alipaswa kuanza kazi katika kiwanda kila alasiri baada ya shule ili achangie kwa gharama ya maisha. Baada ya miaka miwili alifaulu kupata ajira ya ukarani kwa nusu siku kutokana na mwandishi wake mzuri. Hakuweza kuendelea kusoma sekondari baada ya darasa la nane kwa sababu ya karo. Alimaliza [[shule ya msingi]] na kupokea [[Kipaimara]] alipokuwa na miaka 15 akaendelea na kazi ya ukarani. Alijiunga pia na klabu ya [[YMCA]] na jumuiya hiyo ya vijana wakristo ilimshawishi kutafuta maisha ya mmisionari.
 
==== Mafunzo ya umisionari ====