Konrad wa Parzham : Tofauti kati ya masahihisho

84 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
No edit summary
 
'''Konrad wa Parzham [[O.F.M. Cap.]]''' ni [[jina la kitawa]] la Yohane Birndorfer, ambaye alizaliwa ([[Bad Griesbach]], [[Passau]], [[Ufalme wa Bavaria]], leo nchini [[Ujerumani]] mwaka, [[1818]], akafariki- [[Altötting]], Bavaria, [[1894]]) alikuwa [[bruda]] wa shirika la [[Ndugu Wadogo]] [[Wakapuchini]] na kufanya [[kazi]] ya [[bawabu]] kwenye [[patakatifu]] pa Altötting kwa miaka 40 na zaidi.
 
Alikuwa [[bruda]] wa shirika la [[Wakapuchini]] na kufanya kazi ya [[bawabu]] kwenye [[patakatifu]] pa Altötting kwa miaka 40 na zaidi.
 
Alitangazwa na [[Papa Pius XI]] kuwa [[mwenye heri]] mwaka [[1930]] na [[mtakatifu]] mwaka [[1934]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa [[tarehe]] [[21 Aprili]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Tazama pia==
==Viungo vya nje==
{{commonscat|Saint Conrad of Parzham}}
 
{{mbegu-Mkristo}}
 
[[Category:Waliozaliwa 1818]]
[[Category:Waliofariki 1894]]