Yakobo Mdogo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 2:
{{Mitume 12 wa Yesu}}
{{Yesu Kristo}}
'''Yakobo Mdogo''' ni [[jina]] la mmojawapo kati ya [[Mitume wa Yesu]]. Anaitwa hivyo ili kumtofautisha na [[mtume]] mwenzake, [[Yakobo Mkubwa|Yakobo wa Zebedayo]].
 
Katika [[Injili]] anaitwa '''Yakobo wa Alfayo''' na kutajwa na [[Injili ya Mathayo]] 10:3, [[Injili ya Marko]] 3:18, [[Injili ya Luka]] 6:15, mbali ya [[Matendo ya Mitume]] 1:13.
 
Kutokana na wingi wa [[Wayahudi]] waliotumia jina hilo la [[babu]] wa [[taifa]] la [[Israeli]], ni vigumu kuelewa kama ndiye Yakobo anayetajwa kama mmoja kati ya nguzo za [[Kanisa]] la [[Yerusalemu]] na kama ndiye anayetajwa kuwa [[mwandishi]] wa [[Waraka wa Yakobo]].
 
Kama ndiye, aliuawa Yerusalemu [[mwaka]] [[62]] kwa himizo la [[kuhani mkuu]] Anna II.
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa [[tarehe]] [[3 Mei]]<ref>''Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum'', Romae 2001, ISBN 8820972107</ref>.
 
==Tazama pia==
Line 15 ⟶ 17:
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Marejeo==
Line 22 ⟶ 27:
{{Commons category|Saint James the Less}}
*[http://www.catholic-forum.com/saints/saintj10.htm Catholic Forum Patron Saints Index: James the Lesser]
 
{{mbegu-mtu-Biblia}}
 
[[Jamii:Watu wa Biblia]]
[[Jamii:Wafuasi wa Yesu]]