Wachagga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 85:
Pamoja na kilimo cha mazao, Wachagga hupendelea sana kufuga [[nguruwe]]. Tabia ya kula nyama ya nguruwe ijulikanayo leo kwa jina la "kiti moto" ni moja ya mambo yaliyoenezwa na Wachagga. [[Ulaji]] wa "kiti moto" haukuwa pendeza baadhi ya [[wenyeji]] wa [[Pwani]] kama Dar es Salaam ambapo Wachagga walihamia, kwani wakaaji wengi wa Pwani ni [[Waislamu]] kwa hiyo nguruwe kwao ni [[haramu]]. Wakazi wa Dar es Salaam watokao makabila mengine na wasiyo Waislamu kwao kula nguruwe ilikuwa "[[ruksa]]".
 
{{Futa kifungu}}
==Maoni juu ya Wachagga==
Ingawa [[wanaume]] wa Kichagga hupendelea kufanya kazi mbali na kwao, [[wake]] zao hukaa nyumbani (Moshi) na hufuga ng'ombe na kazi za shambani. ila kwa sasa kutokana na [[ugonjwa]] wa [[ukimwi]] tabia hii imepungua miongoni mwao.