Majadiliano:Wachagga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
 
Mstari 22:
 
Kuhusu wachagga na muhogo, ni mojawapo ya hadithi za kijadi zinazosimuliwa na wazee wa kichagga. Ukienda Machame ndani kuna wazee hata wakikuona unakula muhugo mbele yao hawatakubali kuonja maana waamini itawaua. Pia ukizingatia mihogo haikuwa zao lao la jadi, inawezekana waliofanya majaribio zamani walipatwa na janga hilo. Kwa kuwa hakukuwa na vitabu enzi hizo, hadithi zilielezwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine kwa mdomo. hivyo ndiyo watu waliweza kujua madawa ya kuwatibu (miti-shamba) na mimea yenye sumu. Ukweli ni kwamba mihogo haiui, hata ikiwa na sianidi ikilowekwa sumu hiyo hutoka.
 
==Maoni juu ya Wachagga ==
Sioni msingi kubaki na kifungu hiki. Hakuna ushahidi wowote, na kwa mkusanyiko wa maoni ambayo mchangiaji alibahatika kusikia, ni ndefu mno. Tunakosa habari za kimsingi kuhusu kundi hilo, lakini matini ndefu ya udaka kuhusu kundi hili. Ifutwe. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 19:43, 15 Januari 2021 (UTC)
Return to "Wachagga" page.