Bahari ya Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 2 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 3:
'''Bahari ya Kusini''' (pia: '''Bahari ya Antaktiki''') ni [[jina]] jipya katika [[jiografia]]. Linamaanisha [[maji]] yote ya [[kusini]] ya [[latitudo]] ya 60 yanayozunguka [[bara]] la [[Antaktiki]].
 
Katika eneo hilo maji ya [[Bahari ya Atlantiki]], [[Bahari Hindi]] na [[Pasifiki]] hukutana na kuingiliana. Kwa muda mrefu [[wataalamu]] wa [[Shirika la Kimataifa la Hidrografia]] walihesabu eneo kama vitengo vya kusini vya bahari hizo [[tatu]] kubwa lakini katika [[karne ya 20]] wazo la kuitazama kama bahari ya pekee imesambaa na Bahari ya Kusini imerudi kwenye [[ramani]]. <ref>[http://www.iho.int/iho_pubs/standard/S-23/S-23_Ed3_1953_EN.pdf Taarifa ya IHO ya 1937] {{Wayback|url=http://www.iho.int/iho_pubs/standard/S-23/S-23_Ed3_1953_EN.pdf |date=20111008191433 }} ilifuta jina la Bahari ya Kusini, lakini katika [http://www.iho.int/mtg_docs/com_wg/S-23WG/S-23WG_Misc/Draft_2002/Draft_2002.htm nakala ya 2002, mlango wa 10] {{Wayback|url=http://www.iho.int/mtg_docs/com_wg/S-23WG/S-23WG_Misc/Draft_2002/Draft_2002.htm |date=20140202105534 }} imerudishwa.</ref>
 
Eneo lote ni la [[kilomita za mraba]] 20,327,000 za maji. Linazunguka [[pwani]] ya Antaktika yenye [[urefu]] wa [[kilomita]] 17,968. [[Kina]] kirefu ni [[mita]] 5,805 hivi.