Baraza la mawaziri Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 2 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 1:
'''Baraza la Mawaziri la Tanzania''' ni ngazi ya juu ya [[serikali]] au mkono wa utendaji wa [[Jamhuri ya Muungano wa Tanzania]] katika mfumo wa [[mgawanyo wa madaraka]].
 
Baraza hili linaundwa na [[rais]], makamu wa rais, [[rais wa Zanzibar]], [[waziri mkuu]] na mawaziri wote wanaoongoza moja ya [[Wizara za Serikali ya Tanzania|wizara za serikali ]]. <ref>{{cite web |url=http://www.tanzania.go.tz/cabinet.htm |title=Cabinet of Tanzania |date= May 2012 |publisher= ''tanzania.go.tz'' |accessdate=May 2012 |archiveurl=https://archive.today/20130418222542/http://www.tanzania.go.tz/cabinet.htm |archivedate=2013-04-18 }}</ref> Manaibu mawaziri si sehemu ya baraza. [[Mwanasheria Mkuu]] anashiriki katika mikutano ya baraza lakini hana haki ya kupiga kura katika mikutano hiyo.
 
Mikutano ya baraza huongozwa na Rais kama [[mwenyekiti]], kama Rais hayupo basi mikutano hiyo huongozwa na Makamu wa Rais, na kama wote wawili hawapo mikutano hiyo huongozwa na [[Waziri Mkuu]].<ref>[{{Cite web |url=http://www.judiciary.go.tz/downloads/constitution.pdf |title=Katiba ya Tanzania, fungu 54] |accessdate=2020-12-06 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20101217023916/http://www.judiciary.go.tz/downloads/constitution.pdf |archivedate=2010-12-17 }}</ref>
 
Serikali iliyopo ilitangazwa na [[John Magufuli]], rais wa tano wa Tanzania baada ya [[uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020|uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020]] mnamo tarehe [[6 Desemba]] [[2020]].