Bukoba (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+Bukoba_View.JPG #WPWP #WPWPTZ
Rescuing 0 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8
 
Mstari 19:
 
}}
'''Bukoba''' ni [[manisipaa]] katika nchi ya [[Tanzania]] ambayo ni makao makuu ya [[Mkoa wa Kagera]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''35100''' <ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/kagera.pdf{{Dead link|date=January 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}</ref>.. Eneo lake liko chini ya Halmashauri ya Bukoba mjini (Bukoba Municipal Council) yenye madaraka ya [[wilaya]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 128,796<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Kagera - Bukoba Municipal Council]</ref>.
 
Bukoba iko kando la [[Ziwa Viktoria Nyanza]] upande wa magharibi. Mji ulianzishwa kuanzia 1890 wakati Wajerumani waliteua sehemu hii kwa boma la jeshi lao la kikoloni; likaendelea kuwa makao makuu ya [[mwakilishi mkazi]] Mjerumani katika falme ndogo za Karagwe, Washubi na Wahaya ambazo hazikuingizwa bado moja kwa moja katika koloni ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]].