Tofauti kati ya marekesbisho "Shemasi"

571 bytes added ,  miaka 13 iliyopita
no edit summary
(New page: Shemasi ni kiongozi wa Kanisa anayeunganisha wenye daraja za juu na walei. Ushemasi ni daraja ya tatu na ya mwisho katika Kanisa Katoliki na madhehebu mengine kadhaa. Unatolewa na ...)
 
Shemasi ni kiongozi wa [[Kanisa]] anayeunganisha wenye daraja za juu na walei. Ushemasi ni daraja ya tatu na ya mwisho katika [[Kanisa Katoliki]] na madhehebu mengine kadhaa. Unatolewa na [[Askofu]] kwa kumwekea mtu mikono na kumuombea ili atoe huduma ya Neno la Mungu, ya liturujia na ya upendo. Unaweza kutolewa kwa namna ya kudumu au kama hatua ya kuelekea daraja ya [[upadri]].
 
[[category: Dini]]
[[category: Ukristo]]
[[category: Kanisa]]
[[category: Kanisa Katoliki]]
 
[[ca:Diaca]]
[[cs:Jáhen]]
[[da:Diakon]]
[[de:Diakon]]
[[el:Διάκονος]]
[[en:Deacon]]
[[eo:Diakono]]
[[es:Diácono]]
[[fi:Diakoni]]
[[fr:Diacre]]
[[he:דיאקון]]
[[hr:Đakon]]
[[hu:Diakónus]]
[[id:Diakon]]
[[is:Djákni]]
[[ja:輔祭]]
[[ko:부제]]
[[lt:Diakonas]]
[[nl:Diaken]]
[[nn:Diakon]]
[[no:Diakon]]
[[pl:Diakonat]]
[[pt:Diácono]]
[[ro:Diacon]]
[[ru:Диакон]]
[[simple:Deacon]]
[[sk:Diakon]]
[[sl:Diakon]]
[[sr:Ђакон]]
[[sv:Diakon]]
[[uk:Дяк]]
Anonymous user