Tofauti kati ya marekesbisho "Foxy Brown"

143 bytes added ,  miezi 3 iliyopita
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
(Removing Foxy-brown.jpg, it has been deleted from Commons by Didym because: per c:Commons:Deletion requests/File:Foxy-brown.jpg.)
(Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8)
 
}}
 
'''Inga DeCarlo Fung Marchand''' (amezaliwa tar. [[6 Septemba]], [[1978]]),<ref name="Smoking Gun">{{cite web|url=http://www.thesmokinggun.com/archive/years/2007/0216072foxy2.html|title=Foxy Brown Busted|date=February 16, 2007|work=The Smoking Gun|accessdate=December 31, 2009|archiveurl=https://web.archive.org/web/20100330071653/http://www.thesmokinggun.com/archive/years/2007/0216072foxy2.html|archivedate=2010-03-30}}</ref> anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii kama '''Foxy Brown''', ni [[rapa]], , [[mwanamitindo]], na [[mwigizaji]] kutoka nchini [[Marekani]].
Anajulikana sana kwa kazi zake za kujitegemea,, vilevile kwa kazi zake kushirikiana na wasanii mbalimbali hasa kwa uhusiano wa muda mfupi na kundi zima la [[muziki wa hip hop]] - babu-kubwa [[The Firm]]. Amekulia mjini [[Brooklyn, New York]], baba yake mzazi mzee Keith Stahler aliitelekeza familia yake akiwa mdogo mno ili kwenda kuendeleza kazi zake katika studio ya ERAC records.
Albamu zake ni pamoja na ''[[Ill Na Na]]'' mnamo 1996, ikafuatiwa na ''[[Chyna Doll (albamu)|Chyna Doll]]'' mnamo 1999, na ''[[Broken Silence (Foxy Brown)|Broken Silence]]'' mnamo 2001. Vilevile amerap katika albamu ya kundi lake shirikishi mnamo 1997 ya the Firm, [[The Album]], albamu pekee iliyopata kutolewa na kundi hilo hadi sasa. Katika kazi zake, Brown anarekodi mbaya mno ya kutiwa mbaroni na kutumikia kifungo mara kadhaa.