Ghana (Mbeya mjini) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 22:
<center><sup>''Kwa matumizi mengine ya jina hili tazama '''[[Ghana (maana)]]'''''</sup></center>
 
'''Ghana''' ni jina la kata ya [[Mbeya Mjini]] katika [[Mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]]. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4,885 <ref>[{{Cite web |url=http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf |title=Sensa ya 2012, Mbeya - Mbeya MC] |accessdate=2017-03-14 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20040102080416/http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf |archivedate=2004-01-02 }}</ref> walioishi humo. [[Msimbo wa posta]] ni 53102.
 
Eneo la Ghana mjini Mbeya ni moja wapo ya maeneo ya zamani katika mji wa Mbeya. Eneo hili lilipewa jina la "Ghana" baada ya nchi ya [[Ghana]] kupata uhuru wake mwaka 1957. Wananchi wengi wa mji wa Mbeya wa wakati huo walihamasika sana kusikia habari za uhuru wa koloni ya kwanza ya Afrika na kulipa jina lile sehemu hiyo. Sehemu hii ilikuwa kwa ajili ya wafanyakazi wenye kipato kwa wakati huo wa mkoloni.