Goguryeo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 35 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q28370 (translate me)
Rescuing 2 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 1:
[[Picha:History of Korea-476.PNG|thumb|300px|right|Goguryeo]]
{{Ufalme wa Goguryeo}}
'''Goguryeo''' ni [[nasaba]] ya kwanza ya [[Korea]] ya kale ambayo ilianzishwa na [[Jumong]] (주몽朱蒙) mnamo 37 KK. Ilianzishwa karibu na eneo la mto Dongga (동가강佟佳江) ambapo ni tawi mkondo wa Abrok (압록강). Korea inajivunia sana na Goguryeo ambapo ndipo mwanzo mwa taifa la Korea.<ref>{{cite web
{{cite web
|url=http://www.mygoguryeo.net/history04.htm
|title=Goguryeo. Proud History of Korea
Line 9 ⟶ 8:
|last=
|first=
|archiveurl=https://web.archive.org/web/20090626071103/http://www.mygoguryeo.net/history04.htm
}}
|archivedate=2009-06-26
}}</ref>
== Kuundwa na Uenezi wa Goguryeo ==
Hadithi ya kuzaliwa kwa taifa inaeleza kwamba Jumong alizaliwa nje ya yai na kulelewa na mfalme Kuemywa (금와왕) wa Buyeo Mashariki (동부여). Jina la Jumong, linamaana ya mtu mwenye uwezo mkubwa wa kupiga mishale. Kama jinsi jina linavyoonyesha, alikuwa mkali katika mishale na kwa sababu ya uwezo wake, mtoto wa mfalme Daeso (대소왕자) alimwonea gele sana Jumong. Kwa hiyo, Jumong akajionea tabu na kuamua kutoroka Buyeo Mashariki akiwa na marafiki zake watatu. Akaenda zake huko Jolbon Buyeo (졸본부여) na kumwoa Bi. Sosuno (소서노) ambaye alikuwa binti wa mfalme katika taifa hilo. Jumong akarithi ufalme na kubadili jina la nchi na kuliita Goguryeo baada ya jina la mzee wake.
Mstari 26:
==Viungo vya Nje==
*[http://100.naver.com/100.nhn?docid=12449]
*[http://www.goguryeo.org] {{Wayback|url=http://www.goguryeo.org/ |date=20161001183630 }}
*[http://kin.naver.com/detail/detail.php?d1id=11&dir_id=110101&eid=/1opkAgaQrn4xrUW1/zuzxDghWqa7Mb/&qb=6rOg6rWs66CkIOyXreyCrCDsmpTslb0=&enc=utf8&section=kin&rank=24&sort=0&spq=0]