Hajj : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Replacing Kabaa.jpg with File:Kabaa_(January_2003).jpg (by CommonsDelinker because: File renamed: #2).
Rescuing 0 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 7:
Siku ya 9 Dhul-hijja wanaelekea mlima wa Arafat kwa umbali wa kilomita 10 wanapokaa wakisimama na kusali hadi jioni. Baada ya machweo wanaenda Muzafila wanapolala.
 
Kabla ya macheo siku ya 10 Dhul-hijja wanarudi Mina ambako wanafanya ibada ya kumrushia sheitani mawe. Ishara ya sheitani inayotupiwa mawe ilikuwa nguzo ya mwamba inayoitwa jamarat lakini baada ajali nyingi ambako watu walikosa nguzo na kuwapiga wenzao kwenye upande mwingine kuna sasa ukuta. Baada ya kurusha mawe 7 wanaume wanakata nywele zote za kichwani (wanawake nywele kadhaa pekee). Halafu wanachinja sadaka maana siku hii ni sikukuu ya [[Idd ul Adha]]. Siku hizi kondoo 1 anachinjwa na wachinja wanaoajiriwa kwa kila haji. Sehemu kubwa ya nyama inawekwa katika friza na kutumwa baadaye kwa watu maskini kote duniani.<ref>http://www.todayszaman.com/newsDetail_getNewsById.action?load=detay&link=118202{{Dead link|date=January 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }} Kuhusu usambazaji wa nyama ya haji</ref>
 
Baadaye wanarudi Makka kwa tawaf ya pili kwa kuzunguka Kaaba mara saba. Kutoka hapa wanaenda "sa'i" wanapotembea mara saba kati ya vilima vya Safa na Marwa wakifuata nyayo za [[Hagar]] aliyetafuta hapa maji kwa mtoto wake [[Ismail]].