Hidrografia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 3 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
 
Mstari 4:
'''Hidrografia''' (ing.''hydrography'') ni tawi la [[jiografia]] linalohusika upimaji wa [[magimba ya maji]] duniani kama vile [[bahari]], [[maziwa]] na [[mito]] na tabia zao <ref>[http://www.britannica.com/EBchecked/topic/278837/hydrography Britannica Online Encyclopedia]</ref>. Neno hidrografia latokana na maneno ya Kigiriki ὕδωρ (hidor), "maji" na γράφω (grafō), "andika".
 
Kusudi muhimu ya kukusanya elimu hii ni usalama wa usafiri wa baharini na shughuli nyingine zinazohusika bahari na magimba ya maji mengine ya kimataifa kama matumizi ya kiuchumi, kijeshi, usalama, utafiti wa kisayansi na hifadhi ya mazingira. <ref>[{{Cite web |url=http://www.iho.int/srv1/index.php?option=com_content&view=article&id=299&Itemid=289&lang=en |title=Maelezo ya Shirika la Kimataifa la Hidrografia] |accessdate=2016-04-26 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20160331141233/http://iho.int/srv1/index.php?id=299&itemid=289&option=com_content&view=article&lang=en |archivedate=2016-03-31 }}</ref>
 
Shirika na taasisi mbalimbali za hidrografia zinakusanya data na kutoa ramani zimazoonyesha kina cha maji na njia za usafiri kwa maji kwa jumla kwa kusaidia usalama wa meli.<ref>[http://nhd.usgs.gov National Hydrography Dataset]</ref>
Mstari 18:
 
==Viungo vya Nje==
*[http://www.iho.int/srv1/index.php?lang=en International Hydrographic organisation - Shirika la Kimataifa la Hidrolojia] {{Wayback|url=http://www.iho.int/srv1/index.php?lang=en |date=20160425034759 }}
* [http://www.hydrographicsociety.org International Federation of Hydrographic Societies - Shirikisho la Kimataifa la Mashirika ya Hidrografia]
* [http://www.thsoa.org/new/ The Hydrographic Society of America] {{Wayback|url=http://www.thsoa.org/new/ |date=20130417134353 }}
* [http://www.ahs.asn.au/ Australasian Hydrographic Society]