Hospitali ya Nyangao : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 1:
'''Hospitali ya Mtakatifu Walburga Nyangao''' ni [[hospitali]] kuu ya wakala wa hiari [[Wilaya ya Lindi Vijijini|wilayani Lindi Vijijini]], [[Mkoa wa Lindi]]. Inamilikiwa na [[Jimbo Katoliki la Lindi]] linaloungwa mkono na [[watawa]] [[Wamisionari]] [[Wabenedikto]] wa [[Tutzing]].
 
Mnamo [[mwaka]] [[1947]] [[zahanati]] ndogo ilifunguliwa. Ilipofika mwaka [[1959]], Mtawa Daktari Tekla Stinnesbeck aliamua kwamba Nyangao ni mahali pazuri pa vituo vipya vya afya akaanzisha mipango ya hospitali yenye [[Kitanda|vitanda]] 86.<ref> [http://www.nyangaohospital.com Hospitali ya Nyangao] {{Wayback|url=http://www.nyangaohospital.com/ |date=20200204011952 }}, tovuti rasmi</ref>
 
==Marejeo===