Igoma (Mbeya Vijijini) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 1:
<sup>Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia hapa [[Igoma]]</sup>
 
'''Igoma''' ni [[jina]] la [[kata]] ya [[Wilaya ya Mbeya Vijijini]] katika [[Mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]]. Wakati wa [[sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,310 <ref>[{{Cite web |url=http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf |title=Sensa ya 2012, Mbeya - Mbeya DC] |accessdate=2017-03-12 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20040102080416/http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf |archivedate=2004-01-02 }}</ref> walioishi humo. [[Msimbo wa posta]] ni 53214.
 
Igoma ni mojawapo ya kata zinazounda [[tarafa]] ya [[Tembela]], katika wilaya ya Mbeya Vijijini. Kata ya Igoma ina [[kijiji|vijiji]] vifuatavyo: Igoma, Kimondo na Mwansazi.