Abrahamu Fukara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 1138831 lililoandikwa na Harej (Majadiliano)
Tag: Undo
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Abrahamu Fukara''' (alifariki [[372]]) alikuwa [[mmonaki]] wa [[Misri]] katika [[karne ya 4]] [[BK]].
 
Tangu kale anaheshimiwa kama [[mtakatifu]], hasa [[tarehe]] [[27 Oktoba]] iliyo [[sikukuu]] yake<ref>https://catholicsaints.info/saint-abraham-the-poor/</ref>.
 
==Maisha==
Alizaliwa [[Menuf]] (Misri) akawa kwa miaka 23 mfuasi wa [[mtakatifu]] [[Pakomi]] aliyeanzisha [[monasteri]] kwenye [[delta]] ya [[mto Nile]].
 
Baadaye aliishi kwa miaka 17 kama [[mkaapweke]] katika [[pango]], lakini watu walimfahamu wakampa [[Jina|majina]] mbalimbali kama "mdogo", "mnyofu" na "fukara"<ref name="patron">{{cite web | last = Jones | first = Terry | title = Abraham the Poor| work = Patron Saints Index | url=http://www.catholic-forum.com/saints/saintaaa.htm | accessdate = 2007-02-28| archiveurl= https://web.archive.org/web/20070210232220/http://catholic-forum.com/saints/saintaaa.htm| archivedate= 10 February 2007 <!--DASHBot-->| deadurl= no}}</ref>.
 
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa [[tarehe]] [[27 Oktoba]]<ref>https://catholicsaints.info/saint-abraham-the-poor/</ref>.
 
==Tazama pia==
Mstari 19:
==Marejeo==
*[[Frederick George Holweck|Holweck, F. G.]], ''A Biographical Dictionary of the Saints''. St. Louis, MO: B. Herder Book Co. 1924.
 
==Viungo vya nje==
* http://www.catholic-forum.com/saints/saintaaa.htm{{Dead link|date=January 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}
 
{{mbegu-Mkristo}}
{{DEFAULTSORT:Abrahamu Fukara}}