Pete O'Neal : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Felix Lindsey''' "'''Pete'''" '''O'Neal, Jr.''' (alizaliwa [[1940]]), alikuwa na [[mwenyekiti]] wa chama cha ''Black Panther Party'' cha [[mji]] wa [[Kansas]] nchini [[Marekani]] [[mwaka]] [[1960]] huku akifanya shughuli nyingi za kijamii kama kusaidia [[watoto]] wa mtaanimitaani]] katika mji huo.
 
'''Felix Lindsey''' "'''Pete'''" '''O'Neal, Jr.''' (alizaliwa [[1940]]), alikuwa na mwenyekiti wa chama cha ''Black Panther Party'' cha mji wa [[Kansas]] nchini [[Marekani]] mwaka [[1960]] huku akifanya shughuli nyingi za kijamii kama kusaidia [[watoto]] wa mtaani katika mji huo
 
== Historia ==
O'Neal aliingia katika mgogoro na walimu wake wakati akiwa [[elimu]] ya juu ya upili na kulazimika kuacha masomo yake na kujiunga na [[jeshi]] akifuata nyayo za baba yake.
O'Neal aliingia katika mgogoro na walimu wake wakati akiwa [[elimu]] ya juu ya upili na kulazimika kuacha masomo yake na kujiunga na [[jeshi]] akifuata nyayo za baba yake baada ya kumaliza kuhudumu katika jeshi alihamia katika jiji la [[Calfonia]] na mwaka [[1959]]h alikamatwa kwa makosa ya wizi na kuhukumiwa jela miezi tisa lakini alitoroka baada ya kukaa humo kwa muda wa miezi mitatu na kukimbilia katika mji wa Kansas na mwaka [[1961]] alikamatwa tena na kurejeshwa katika jiji la Kalifonia kumalizia hukumu yake iliyobakia .<ref>{{Cite web|title=Pete O’Neal – Profiles in Kansas City Activism|url=https://info.umkc.edu/kcactivism/?page_id=209|access-date=2021-01-12|language=en-US}}</ref>
 
O'Neal aliingia katika mgogoro na walimu wake wakati akiwa [[elimu]] ya juu ya upili na kulazimika kuacha masomo yake na kujiunga na [[jeshi]] akifuata nyayo za baba yake baadaBaada ya kumaliza kuhudumu katika jeshi alihamia katika jiji la [[Calfonia]] na mwaka [[1959]]h alikamatwa kwa makosa ya wizi na kuhukumiwa jela miezi tisa lakini alitoroka baada ya kukaa humo kwa muda wa miezi mitatu na kukimbilia katika mji wa Kansas na mwaka [[1961]] alikamatwa tena na kurejeshwa katika jiji la Kalifonia kumalizia hukumu yake iliyobakia .<ref>{{Cite web|title=Pete O’Neal – Profiles in Kansas City Activism|url=https://info.umkc.edu/kcactivism/?page_id=209|access-date=2021-01-12|language=en-US}}</ref>
 
Mnamo tarehe [[30 Oktoba]] mwaka [[1969]] alikamatwa tena kwa makosa ya kusafirisha [[silaha]] na mwaka [[1970]] alihukumiwa jela miaka minne , lakini alitorokea nchini [[Aljeria]] na kisha kukimbilia nchi [[Tanzania]] baada ya mwalimu [[Julius Nyerere]] kuvutiwa na sera zake za uafrika na kumruhusu kuishi nchini humo ambako anaishi hadi sasa.
 
Mnamo tarehe [[30 Oktoba]] mwaka [[1969]] alikamatwa tena kwa makosa ya kusafirisha [[silaha]] na mwaka [[1970]] alihukumiwa jela miaka minne , lakini alitorokea nchini [[Aljeria]] na kisha kukimbilia nchi [[Tanzania]] baada ya mwalimu [[Julius Nyerere]] kuvutiwa na sera zake za uafrika na kumruhusu kuishi nchini humo ambako anaishi hadi sasa.
Peter pamoja na mke wake [[Charlotte Hill O'Neal]], ni waanzilishi wa asasi na kituo cha ''United African Alliance Community Center'' (UAACC) kilichopo eneo la Embasenyi wilaya ya [[Arumeru]] mkoani [[Arusha]].
 
UAACC ni kituo kinachoshughulika kufunza watoto hasa katika masuala ya [[sanaa]]. [[filamu]]. [[muziki]] lugha ya [[Kiingereza]], [[Kompyuta]] pamoja na mambo mengine.
Na kituo hiki kimekuwa kikitembelewa na watu maarufu pamoja na wanasiasa mbalimbali na huduma za mabweni zinapatikana katika kituo hiko, huku [[vijana]] na watu mbalimbali hasa wanaozunguka kituo hicho wakipata fursa ya [[ajira]].
 
Na kituoKituo hiki kimekuwa kikitembelewa na watu maarufu pamoja na wanasiasa mbalimbali na huduma za mabweni zinapatikana katika kituo hiko, huku [[vijana]] na watu mbalimbali hasa wanaozunguka kituo hicho wakipata fursa ya [[ajira]].
 
Familia ya O'Neal's bado inaishi katika jiji la Kansas na Peter ni binadamu wabinamu wa mwakilishi wa Marekani [[Emmanuel Cleaver]], na tangu mwaka [[1991]] Eammanuel amekuwa akimuombea Pater msamaha kwa maraisi tangu [[Bill Clinton]] na [[Barack Obama]] na wote walikataa kutoa msamaha kwa Peter .<ref name="NYTimes">{{cite news| url=https://www.nytimes.com/1997/11/23/world/a-black-panther-s-mellow-exile-farming-in-africa.html?pagewanted=all&src=pm | newspaper=[[The New York Times]] | first=James C. | last=McKinley Jr | title=A Black Panther's Mellow Exile: Farming in Africa | date=23 November 1997}}</ref><ref>[http://www.kshb.com/news/local-news/investigations/new-pardon-push-for-kansas-city-black-panther-founder New pardon push for Kansas City Black Panther founder Pete O'Neal living in exile in Africa], ''[[KSHB]]'', Andy Alcock, April 5, 2016. Retrieved 6 November 2016.</ref>
 
==Marejeo==
Mstari 21:
[[Jamii:Waliozaliwa 1940]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Wanaharakati wa Marekani]]